Swali: Je, ni kweli kwamba unabii umemalizwa na Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) lakini utume haukumalizwa?

Jibu: Ni ukafiri. Mwenye kusema kuwa unabii umemalizwa lakini utume haukumalizwa ni kufuru. Hakuna baada ya Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) si Mtume wala Nabii.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (58) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16539
  • Imechapishwa: 23/09/2017