Swali: Je, majini wanakuwa kwa roho au wanakuwa kwa miili?

Jibu: Lililo dhahiri ni kwamba wanakuwa kwa roho na miili.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://muqbel.net/sounds.php?sound_id=22
  • Imechapishwa: 15/05/2020