Ulazima wa kurudi swalah ya ´Aswr ambayo mtu aliijumuisha na ijumaa


Swali: Nikiswali ´Aswr kwa kujumuisha baada ya swalah ya ijumaa Makkah ni lazima kuirudi ´Aswr?

Jibu: Ndio. Ni lazima kuirudi kwa kuwa umeiswali kabla ya wakati wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (62) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13740
  • Imechapishwa: 16/11/2014