Uislamu hauruhusu kuanzisha makundi


Swali: Je, inajuzu kuanzisha makundi katika mji ambao unaruhusu kufanya hivo ikiwa katika kufanya hivo kuna manufaa kwa waislamu?

Jibu: Uislamu hauruhusu makundi. Unakataza kugawanyika na kutofautiana kwa makundi na mapote. Hili halijuzu katika Uislamu. Uislamu ni pote na ni kundi moja. Wasifarikane.

Kuanzisha makundi sio jambo la waislamu. Hili ni jambo la makafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (61) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13585
  • Imechapishwa: 16/11/2014