Uganga, ndevu na kufanya chanjo mwilini (tattoo) katika Biblia


26Msile nyama yoyote yenye damu. Msipige bao wala kufanya uchawi. 27Msikate ndevu zenu ziwe fupi kuzunguka pande zote, wala usiharibu ncha ya ndevu zako. 28Msijitie alama zozote mwilini mwenu. Mimi ndiye Mwenyezi Mungu.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Walawi 19:26-28
  • Imechapishwa: 13/01/2020