Ufaransa inataka msaada wa Salafiyyyuun dhidi ya Takfiyriyuun


Swali: Serikali yetu ya Ufaransa inataka kushirikiana na Salafiyyuun dhidi ya Takfiyriyyuun ili kuwafichua. Je, inajuzu?

Jibu: Takfiyriyyuun wao wenyewe wanazingatiwa kuwa ni maadui wa Uislamu na waislamu. Kwa sababu wanafanya matendo yenye kuwadhuru waislamu. Inafaa kwa wao kufanya hivo kuwasahilishia, kubainisha fikira zao na kulielezea jambo la wakiwa na uhakika katika jambo lao.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://safeshare.tv/w/ss564b8537d62ef
  • Imechapishwa: 06/05/2018