Swali: Ikiwa uchimbaji wa kabla ya kuja Uislamu ni katika masanamu, inafaa kwa mtu akayauza?

Jibu: Anauza picha? Haijuzu. Picha zinatakiwa kuharibiwaharibiwa, masanamu yanatakiwa kuharibiwaharibiwa, na yasiuzwe, kwa sababu ni masanamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (16)
  • Imechapishwa: 26/04/2021