Swali: Ni ipi hukumu ya kuangalia uchawi kwenye TV?

Jibu: Haijuzu kufanya hivo isipokuwa tu kwa yule anyewakemea, kuhakikisha jambo lao na kulipeleka jambo lao mahakamani. Vinginevyo wanaiharibu ´Aqiydah na kumuathiri yule mjinga. Haijuzu kufanya hivi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 22/07/2017