Swali: Kuna wanaodai kuwa wanatumia uchawi katika mambo ya kheri…

Swali: Hakuna kheri katika uchawi. Wala hautumiwi kwa lengo la kheri. Haujuzu. Hukumu yake ni kuuawa. Mchawi anauawa. Haifai akacheza na watu na kusema kuwa ni kwa lengo la kheri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 16/07/2017