Uasi kwa mtawala kafiri


Swali: Tumesoma kuwa haifai kufanya uasi kwa mtawala midhali anaswali. Hiyo ina maana kwamba inafaa kumfanyia uasi mtawala kafiri?

Jibu: Ikiwa uasi huo utatendeka bila ya fitina na umwagikaji wa damu. Ikiwa kuna uwezekano wa kumg´oa na badala yake kuweka muislamu pasi na fitina na umwagikaji wa damu, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017