Twawaaf-ul-Wadaa´ inaanguka kwa mgonjwa?

Swali: Mtu akipatwa na maradhi kabla ya kufanya Twawaaf-ul-Wadaa´ inaanguka na hahitajii tena kufanya?

Jibu: Haianguki. Bali utatakiwa kufanya Twawaaf hali ya kubebwa. Isipokuwa tu mwanamke mwenye hedhi ndio Twawaaf kwake inaanguka.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (08) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191309#219638
  • Imechapishwa: 19/01/2019