Swali: Je, inajuzu kuingiza TV ili kuangalia taarifa ya khabari tu kwa kuzingatia ya kwamba mwendeshaji wa kipindi anaweza kuwa ni mwanamke alievaa vibaya?

Jibu: Tafuta redio. Sikiliza bila ya kutazama baadhi ya madhambi. Taarifa ya khabari redio inatosheleza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020