Tunateswa na kuadhibiwa kwa madhambi yetu

Swali: Majanga yanayowafika waislamu hii leo ni kutokamana na madhambi yao?

Jibu: Bila ya shaka:

وَمَا أَصَابَكُم مِّن مُّصِيبَةٍ فَبِمَا كَسَبَتْ أَيْدِيكُمْ وَيَعْفُو عَن كَثِيرٍ

“Haukusibuni katika msiba wowote, basi ni kutokana ya yale yaliyochuma mikono yenu na anasamehe mengi.”[1]

[1] 42:30

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (84) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17577
  • Imechapishwa: 28/12/2017