Tofauti zetu na Shiy´ah ni katika mambo madogomadogo ya ki-Fiqh pekee?

Swali: Mwenye kusema kuwa tofauti kati ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah na Raafidhwah ni katika mambo ya matawi pekee. Ni ipi hukumu ya msemo huo?

Jibu: Hapana, bali ni tofauti katika mambo ya ´Aqiydah. Wana imani juu ya watu wa nyumbani kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kwamba wananufaisha na wanadhuru. Ni kama ambavyo walikuwa wakifanya washirikina wa kale wa Quraysh juu ya al-Laat, al-´Uzzaa, Mitume na waja wengine wema

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 82
  • Imechapishwa: 06/07/2019