Tofauti ya kufanya Tawassul na kuomba majina ya Allaah

Swali: Ni ipi hukumu ya kuomba kwa sifa ya Allaah kama kusema “Nakuomba kwa nguvu za Allaah”?

Jibu: Mtu kusema “Najilinda kwa nguvu na uwezo wa Allaah” hakuna neno. Kutaka ulinzi ni kule kuomba kwa majina ya Allaah. Amesema (Ta´ala):

وَلِلَّـهِ الْأَسْمَاءُ الْحُسْنَىٰ فَادْعُوهُ بِهَا

”Allaah ana Majina mazuri kabisa, hivyo basi muombeni kwayo.” (07:180)

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 07/04/2019