Tofauti Ya Ibn ´Abdil-Wahhaab Na ISIS


Swali: Baadhi ya walioathirika na Khawaarij wanatumia hoja kwa mauaji yao juu ya waislamu Shaam kwamba ni sawa na Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab pindi alipoyavunja masanamu na akahuisha hukumu ya Allaah. Vipi wataraddiwa?
Jibu: Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab hakufanya kitu pasi na mtawala. Alianza kwanza kwa kukataza mambo haya tu. Yalipitika mara ya kwanza baada ya kumpa kiapo mtawala Muhammad bin Su´uud (Rahimahu Allaah). Mtawala ndiye mwenye kufanya mambo kama hayo.
  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 07/02/2017