Tofauti kati ya mpewa ahadi na amani


Swali: Ni ipi tofauti kati ya mtu anayepewa ahadi na anayepewa amani?

Jibu: Anayepewa ahadi ni yule ambaye kati yetu sisi na wao kuna ahadi (mkataba). Ama kuhusu anayepewa amani, hakuna baina yetu sisi na wao ahadi. Lakini ameingia nchi yetu kwa kuchukua idhini kutoka kwa mtawala. Ameingia nchini mwa idhini na sio kwa ahadi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (49) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-5-13.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014