Tayammum kwenye jiwe dogo


Swali: Inajuzu kufanya Tayammum kwenye jiwe dogo ambalo linapata nafasi kwenye kitanga cha mtoto mdogo?

Jibu: Ni lazima mikono ipige kwa chini. Isitoshe ni lazima vumbi ishike kwenye vitanga vya mikono.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (84) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17577
  • Imechapishwa: 28/12/2017