Tawhiyd sahihi


´Amr bin Tamiym al-Makkiy amesema: Nimemsikia Muhammad bin ´Iysaa at-Tirmidhiy akisema: Nimemsikia al-Muzaniy akisema:

“Tawhiyd ya mtu haiwi yenye kusihi mpaka atambue kuwa Allaah yuko juu ya ´Arshi kwa sifa Zake.” Nikamwambia: “Kwa mfano sifa gani?” Akasema: “Usikizi, Uoni na Utambuzi.”

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Siyar A´laam-in-Nubalaa’ (12/494)
  • Imechapishwa: 24/11/2020