Swali: Ni vitabu vyepi unavyopendekeza vya Tawhiyd kwa watoto?
Jibu: Kitabu “Thalaathat-ul-Usuwl” cha Shaykh na Imaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah). Hichi ni kitabu kizuri, sahali na chepesi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Liqaa'-ul-Jumu´ah bit-Twaa'if http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17101
- Imechapishwa: 24/09/2017