Swali: Ambaye alikula siku nyingi za Ramadhaan pasi na udhuru na wala hakumbuki kipindi hicho alikuwa anaswali au haswali. Ni kipi kinachomlazimu?

Jibu: Ni lazima kwake kutubia kwa Allaah (´Azza wa Jall) na ahifadhi swawm. Yanamtosha – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 30/11/2019