Swali: Nikifanya maasi na nikatubia juu yake pasi na kujutia. Je, tawbah yangu inakubaliwa?

Jibu: Hapana, haikubaliwi. Kwa sababu masharti ya tawbah ni matatu ambapo moja wapo ni kujutia yale yaliyopita.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (79) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-11-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2018