Swali: Kuna Suufiyyah wazuri na wabaya?

Jibu: Hapana. Bid´ah haijapatapo kuwa nzuri. Lakini hata hivyo Taswawwuf kuna ambayo ni khafifu zaidi kuliko nyingine. Vinginevyo Taswawwuf zote ni mbaya na Bid´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20maji%20d%20-%2011%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017