Swali: Je, katika Uislamu kuna Taswawwuf yenye kusifiwa?

Jibu: Hapana. Taswawwuf imezuliwa. Katika Uislamu hakuna Taswawwuf yenye kusifiwa. Zote ni zenye kusemwa vibaya. Yule mwenye kutaka kheri atendee kazi Sunnah na asitendee kazi Bid´ah – na Taswawwuf ni Bid´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ al-Maftuuh fiy Masjid Qubaa’ http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17626
  • Imechapishwa: 27/02/2018