Tasbiyh kwa sauti ya juu baada ya kila Rak´ah mbili za Tarawiyh

Swali: Huku kwetu baada ya kila Rak´ah [mbili] za Tarawiyh wanamsabihi Allaah kwa njia maalum kama kusema:

سبحان ذا الملك والملكوت، سبحان ذا العزة والعظمة والجبروت

“Ametakasika kutokamana na mapungufu Mwenye utawala, ufalme, ukubwa na utukufu.”

Ni upi sahihi wa hayo?

Jibu: Haisihi ikiwa wanafanya hivo kwa sauti ya juu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-التسبيح-بعد-كل-ركعة-في-التراويح
  • Imechapishwa: 12/06/2022