Tamtam kwa ajili ya mazazi ya Mtume

Swali: Je, inajuzu kununua tamtam zinazoitwa “tamtam za mazazi ya Mtume”? Wakizinunua baadhi ya watu kimakosa inafaa kwangu kuzila?

Jibu: Hapana. Chakula kinachofanywa kwa ajili ya kusimamisha Bid´ah usikile. Ni pesa isiyokuwa nzuri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (98) https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18006
  • Imechapishwa: 17/05/2019