Talii katika mji usiokuwa na maasi


Swali: Ni ipi hukumu ya kusafiri kwenda katika nchi ya Kiislamu kwa lengo la kutalii pamoja na kuzingatia kwamba nchi hiyo ina maovu mengi yaliyo waziwazi na hakuna yeyote anayeyakataza?

Jibu: Usende katika maovu. Allaah amekulinda. Kutalii sio lazima. Fanya katika utalii katika mji usiokuwa na maasi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (49) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m-3%20%20-%2012%20-%202%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 05/11/2018