Talaka ya matamshi ya kinaya


Swali: Mimi ni mtu ambaye niko mbali na mke wangu na nimepewa mtihani wa kujitoa manii. Pindi nilipotaka kuachana na tendo hilo nikasema: “Nikirudi tena mke wangu nitakuwa nimemtaliki” na nikakusudia Talaka. Je, mke wangu atakuwa ametalikika kwa hilo?

Jibu: Hili linahitajia uje katika (Daar) al-Iftaah na litazamwe vizuri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: www.alfawzan.af.org.sa/node/10074
  • Imechapishwa: 14/02/2018