Swali: Vipi mtu aliye ghaibu (asiyekuwepo) anaweza kumtaliki mke wake?

Jibu: Yaani aliye ghaibu hawezi kutaliki? Sawa mtu ni ghaibu au yupo, hakuna kizuizi. Kila mmoja katika hawa anaweza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: www.alfawzan.af.org.sa/node/10002
  • Imechapishwa: 08/02/2018