Swali: Je, talaka wakati wa damu ya uzazi inapita?
Jibu: Ndio, inapita. Hata katika hedhi inazingatiwa kuwa imepita. Ijapokuwa imeharamishwa lakini hata hivyo imepita.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2017