Talaka wakati wa hedhi na nifasi

Swali: Je, talaka wakati wa nifasi ni yenye kupita?

Jibu: Ndio. Ni yenye kupita. Hata wakati wa hedhi; ni yenye kupita. Japokuwa ni haramu lakini hata hivyo ni yenye kupita.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighâthat-il-Lahfân (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
  • Imechapishwa: 18/10/2017