Talaka kwa ujumbe wa simu

Swali: Je, talaka inayotolewa kwa njia ya simu inapita?

Jibu: Akiandika ujumbe kwa njia ya simu ni haki na ni yenye kupita. Ameiandika hali ya kuitambua na mwenye kukusudia. Hivyo inapita.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/فتاوى-على-الهواء-26-12-1435هـ
  • Imechapishwa: 19/06/2022