Talaka bila ya kuwepo sababu inajuzu ila imechukizwa


Swali: Je, inajuzu mume kumtaliki mke wake bila ya kuwepo sababu yoyote? Baadhi ya watu wanatumia Hadiyth ya Ummu Zur´ah pindi mume wake alipomtaliki bila ya sababu yoyote. Pamoja na hivyo, Mtume (´alayhis-Salaam) hakumkataza tendo hili?

Jibu: Kutoa Talaka bila ya sababu inajuzu lakini imechukizwa. Inajuzu lakini pamoja na kuchukiza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: www.alfawzan.af.org.sa/node/10016
  • Imechapishwa: 14/02/2018