Tahiyyat-ul-Masjid sehemu za kuswalia


Swali: Imewekwa katika Shari´ah kuswali Tahiyyat-ul-Masjid sehemu za kuswalia (مصلى) kama misikitini?

Jibu: Hapana. Sio misikiti. Ni sehemu tu za kuswalia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (91) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-22-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 17/08/2018