Swali: Mtu huyu ameenda kwa mtu amfanyie matabano ambapo akamwambia kuwa amefanyiwa uchawi. Je, kule kuyasadikisha maneno yake ni kumsadikisha mchawi?

Jibu: Mtu kama huyu usende kwake na wala haijuzu kufanyiwa matabano kwake. Kwa kuwa ni mwongo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17488
  • Imechapishwa: 25/11/2017