Swali: Unawanasihi nini vijana katika ulimwengu wa Kiislamu inapokuja katika kutahadhari na ISIS?

Jibu: Nawanasihi vijana watahadhari nao na washikamane na watawala na wanachuoni wa miji. Vilevile wajifunze na waeielewe dini ya Allaah. Wanatakiwa wahadhari makundi haya yanayoenda kinyume na Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Wasome, wawe pamoja na watawala wao na wanachuoni na wajibidishe na elimu ya Kishari´ah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=goriX5OSrsw
  • Imechapishwa: 12/11/2016