Swali: Hakufurishwi wala kufanyiwa Tafsiyq mtu maalum isipokuwa baada ya kumsimamishia hoja. Je, ni vivyo hivyo inapokuja kaitka Tabdiy´? Je, kuna haja ya kumsimamishia mtu hoja kabla ya kumfanyia Tabdiy´?

Jibu: Ndio. Kila kasoro inayonasibishwa kwa mtu basi ni lazima ithibitishwe. Haijuzu kumtia mtu uzushini wala upotofuni pasi na dalili.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Haram al-Madaniy (64)
  • Imechapishwa: 11/07/2021