Swawm za pamoja jumatatu


Swali: Inajuzu kwangu kukubaliana na marafiki zangu juu kufunga siku ya jumatatu kisha tukafuturu kwa pamoja…

Jibu: Hapana, hapana. Swawm za pamoja[1] na swalah za usiku za pamoja ambazo watu wanakubaliana kwazo haijuzu.

[1] Tazama http://firqatunnajia.com/36-ni-ipi-hukumu-ya-swawm-za-pamoja/

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017