Swalah za mikusanyiko miwili wakati mmoja

Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali swalah za mikusanyiko miwili katika msikiti mmoja?

Jibu: Haiafai kuswali swalah za mikusanyiko miwili kwa wakati mmoja na katika msikiti mmoja. Lakini kama swalah ya mkusanyiko ya kwanza imempita mtu na wakaja watu wengine na kutaka kusimamisha nyingine, hakuna neno kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (85) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17635
  • Imechapishwa: 29/06/2018