Swali: Vipi mtu atalipa swalah ya Maghrib au swalah ya Fajr inapompita mtu wakati wa kuchomoza kwa jua au kuzama kwake?
Jibu: Swalah iliyompita mtu inalipwa katika wakati wowote na hakuna kikwazo juu yake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule atakayepitiwa na usingizi ambapo akapitwa na swalah au akaisahau, basi aiswali atakapoikumbuka. Haina kafara isipokuwa hiyo.”
Fuqahaa´ watano wamesema ni kulipa zile swalah za faradhi. Ni lazima kulipa zile swalah za faradhi hata kama ni katika zile nyakati zilizokatazwa kuswali ndani yake.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/كيفية-قضاء-صلاة-المغرب-أو-الفجر-إذا-فاتت-عند-شروق-الشمس-أو-عند-غروبها
- Imechapishwa: 11/06/2022
Swali: Vipi mtu atalipa swalah ya Maghrib au swalah ya Fajr inapompita mtu wakati wa kuchomoza kwa jua au kuzama kwake?
Jibu: Swalah iliyompita mtu inalipwa katika wakati wowote na hakuna kikwazo juu yake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule atakayepitiwa na usingizi ambapo akapitwa na swalah au akaisahau, basi aiswali atakapoikumbuka. Haina kafara isipokuwa hiyo.”
Fuqahaa´ watano wamesema ni kulipa zile swalah za faradhi. Ni lazima kulipa zile swalah za faradhi hata kama ni katika zile nyakati zilizokatazwa kuswali ndani yake.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/كيفية-قضاء-صلاة-المغرب-أو-الفجر-إذا-فاتت-عند-شروق-الشمس-أو-عند-غروبها
Imechapishwa: 11/06/2022
https://firqatunnajia.com/swalah-za-faradhi-zinalipwa-wakati-wowote/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)