Swalah ya wapishi kwenye mgahawa

Swali: Mimi namiliki mgahawa na nina wapishi watatu. Wakienda kuswali msikitini kuna khatari chakula kikaungua. Je, wanaweza kuswali swalah ya mkusanyiko jikoni?

Jibu: Ndio. Ikiwa chakula kinaungua waswali kwenye mgahawa kwa ajili ya kukihifadhi chakula. Haijuzu kuharibu chakula na kuwaachia wezi, kikaungua au kikapotea. Huu ni udhuru.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 02/12/2016