Swalah ya kupatwa kwa jua ilitokea mara ngapi wakati wa Mtume?


Swali: Je, swalah ya kupatwa kwa jua ilitokea mara nyingi wakati wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Hapana. Ilitokea mara moja. Jua lilipatwa wakati wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambapo akawaswalisha swalah ya kupatwa kwa jua.

Ama mwezi kupatwa ni jambo halikutokea wakati wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
  • Imechapishwa: 26/06/2018