Swali: Je, inafaa kuswali swalah ya jeneza wakati uliokatazwa kwa sababu watu wengi wanaswali baada ya swalah ya ´Aswr?

Jibu: Ndio, kwa sababu wakati uliokatazwa baada ya ´Aswr ni mrefu na maiti anaweza kudhurika. Kwa hivyo inafaa kuswali swalah ya jeneza baada ya ´Aswr na baada ya Fajr kwa sababu ni wakati mrefu. Jeneza lisizuiwe. Bali waswaliwe swalah ya jeneza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (15) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-24-11-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 28/09/2019