Kuhusu swalah ya Tarawiyh katika Ramadhaan mwaka huu watu waiswali majumbani mwao. Ni vigumu kuiswali misikitini kwa sababu za kuisalama zilizochukuliwa na serikali kwa sababu ya kuepuka kuenea kwa virusi vya corona.

Hali ikiendelea kama ilivo sasa na swalah ya ´iyd isiweze kuswaliwa misikitini wala sehemu za uwanja, basi itaswaliwa majumbani pasi na Khutbah. Kamati ya al-Lajnah ad-Daaimah tayari imekwishatoa fatwa juu ya kwamba yule mwenye kupitwa na swalah ya ´iyd na akataka kuikidhi basi imependekezwa kwake kufanya hivo ambapo ataiswali katika sifa yake pasi na Khutbah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alarabiya.net/ar/saudi-today/2020/04/17/%D9%85%D9%81%D8%AA%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%B3%D8%B9%D9%88%D8%AF%D9%8A%D8%A9-%D8%B5%D9%84%D8%A7%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D8%B1%D8%A7%D9%88%D9%8A%D8%AD-%D9%88%D8%A7%D9%84%D8%B9%D9%8A%D8%AF-%D8%A8%D8%A7%D9%84%D8%A8%D9%8A%D9%88%D8%AA-%D9%81%D9%8A-%D8%B8%D9%84-%D9%83%D9%88%D8%B1%D9%88%D9%86
  • Imechapishwa: 14/05/2020