Swali: Ulaya wakati mwingine swalah ya ´Ishaa inachelea sana mpaka inafika saa sita za usiku. Je, inafaa kwetu kukusanya Maghrib na ´Ishaa wakati wa swalah ya Maghrib?

Jibu: Hapana. Kila swalah inatakiwa kuswaliwa ndani ya wakati wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=WMFExufyOAk
  • Imechapishwa: 06/06/2020