Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kuhudhuria na kuswali swalah ya ijumaa kwa mwendelezo?

Jibu: Ndio. Ikiwa halipelekei katika madhara yoyote, analipwa ujira juu ya hilo. Asikilize Khutbah na aswali pamoja na waislamu wenzake. Ni jambo zuri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (13) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-26-10-1434.mp3
  • Imechapishwa: 21/10/2017