Swalah ya ijumaa kwa msafiri


Swali: Inafaa kwa msafiri kuswali swalah ya ijumaa pamoja na watu au ni lazima aswali Dhuhr?

Jibu: Akihudhuria pamoja na watu wengine, aswali pamoja nao. Asiswali peke yake. Aswali swalah ya ijumaa pamoja na wao. Inamtosheleza kutokamana na Dhuhr.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017