Swalah wakati ambapo kumeshatengwa chakula au mtu anataka kwenda kujisaidia chooni

Swali: Ni ipi hukumu ya swalah ya mtu ambaye anajizuia haja kubwa au ndogo au wakati ambapo kumeshatengwa chakula?

Jibu: Imechukizwa. Hukumu yake ni kwamba imechukizwa. Inasihi lakini pamoja na machukizo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (49) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-5-13.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014