Swalah nyuma ya anayelingania katika ´Ibaadah ya makaburi


Swali: Kuna mtu anawaita watu kufunga safari kwenda kwenye makaburi na kuyaadhimisha. Je, inasihi kuswali nyuma yake?

Jibu: Hapana. Ambaye anaita kwenda kuyatembelea makaburi na kuyafungia safari haijuzu kuswali nyuma yake. Kwa kuwa hakemei shirki, bali analingania kwayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14819
  • Imechapishwa: 16/04/2018