Ameswali Ndani Ya Msikiti Ulio Na Kaburi

Swali: Nilitembea katika mji mmoja wa kiarabu na nikaswali swalah ya faradhi kwenye msikiti mmoja ulio na kaburi. Je, swalah yangu ni sahihi au ni lazima niirudi tena hata kama ni baada ya muda?

Jibu: Ni lazima uirudi tena. Swalah ya kwenye makaburi sio sahihi kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tahid-25-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017